iqna

IQNA

mapenzi baina ya waislamu
Qur'ani Tukufu Inasemaje/25
TEHRAN (IQNA) - Hasira ni miongoni mwa hisia zinazosababisha uadui na kupelekea kuibuka matokeo mabaya ya kijamii. Uadui au uhasama unaweza kupunguzwa kwa njia fulani, lakini kuugeuzaa kuwa urafiki wa kindani ni jambo ambalo linaonekana kuwa lisilowezekana.
Habari ID: 3475670    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23